
BAJANA: Ishu ya Simba ilikuwa siriazi
DIRISHA kubwa la uhamisho linaendelea kushika kasi kwa klabu mbalimbali zikiwamo za Ligi Kuu Bara hasa Simba, Yanga na Azam FC ambazo zimekuwa gumzo zaidi kutokana na sajili za kibabe ambazo zimekuwa zikifanya tangu dirisha hili limefunguliwa. Kati ya mijadala mikubwa kwa mashabiki kila kona kuanzia kwenye mitandao ya kijamii hadi vijiwe vya kahawa, ni…