
Jalada anayedaiwa kubaka mwanaye lapelekwa kwa DPP
Dodoma. Jeshi la Polisi limekamilisha upelelezi wa tuhuma dhidi ya baba anayedaiwa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa miezi sita. Limeeleza leo Jumatano Septemba 4, 2024 jalada limepelekwa katika Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya hatua zaidi. Tukio hilo linadaiwa kutokea Jumapili Septemba mosi, katika Mtaa wa Mbuyuni, Kata ya…