
THRDC yapaza sauti changamoto ya intaneti
MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeitaka Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kufanya jitihada za kutafuta njia mbadala ya kurejesha mtandao (intaneti) katika hali yake ya kawaida, kwani kukosekana kwake ni ukiukwaji wa haki za binadamu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Wito huo umetolewa leo Jumatatu na Mratibu wa…