
Kiungo wa Spurs, amwagia sifa Diarra
KIUNGO mkabaji nyota anayekipiga Tottenham Hotspur iliyopo Ligi Kuu England (EPL), Yves Bissouma amesema kipa wa Yanga, Djigui Diarra ni kipa bora kwa sasa duniani. Diarra na timu yake ya Mali imefuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Morocco. Ikumbukwe Diarra mbali na kuwa kipa tegemeo katika kikosi cha Yanga, lakini hata kwenye…