
Azam FC yamvalia njuga Manula
AZAM FC imedhamiria kwa dhati kumrudisha aliyekuwa kipa namba moja wa kikosi hicho, Aishi Manula baada tu ya msimu huu kuisha. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo zimekaririwa na Mwanaspoti kwamba viongozi wanataka kumrejesha nyota huyo aliyeondoka ndani ya kikosi hicho Agosti 9, 2017 huku akiwa ni moja ya makipa bora nchini kutokana na kiwango…