
Prof. Nagu: Tekelezeni Kikamilifu Program ya Malezi ya Awali ya Mtoto
NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Prof. Tumaini Nagu amewakumbusha Wadau, Makatibu Tawala Mikoa,Maafisa lishe na Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Mikoa kwenda kuendelea kutekeleza Program ya Kitaifa ya Malezi,Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto kikamilifu ili kuwezesha watoto kukua na kufikia utimilifu wao,kutimiza ndoto pamoja…