
Burundi bado inao maadui licha ya utulivu – DW – 13.05.2024
Ameyasema hayo alipokutana na maafisa wa usalama katika mikoa ya Magharibi mwa nchi hiyo ambapo leo imeadhimisha mwaka wa 9 tangu kutokea jaribio la mapinduzi ya kijeshi mnamo mwaka 2015. Maadhimisho hayo yanafanyika wakati watu kadhaa tayari wamekamatwa kwa tuhuma za kuhusika na kuripuwa maguruneti mwishoni mwa wiki katikati ya jiji la Bujumbura ambapo takriban…