
SGR inavyoweza kuwa fursa kwa usafiri wa anga
Dar es Salaam. Licha ya mtazamo kuwa, kuimarika kwa usafiri wa reli ya kisasa (SGR) kutaathiri usafiri wa anga kwa upande mmoja, wadau wa usafiri huo, wamesema reli hiyo ya kisasa inaweza kuimarisha sekta ya anga pia. Matumaini ya wadau hao yanatokana na mtazamo, kuna uwezekano wa vyanzo hivyo vya usafiri kushirikiana na kuwapa fursa…