
‘TLP haitakufa’, mrithi wa Mrema atangaza kutiania jimbo la Vunjo
Moshi. Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Richard Lyimo amesema chama hicho hakitakufa licha ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wake, marehemu Augustino Mrema, badala yake kitaendelea kuimarika kisiasa. Akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika leo Alhamisi Agosti 21, 2025, katika eneo la Njiapanda ya Himo wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, Lyimo amesema TLP bado kina…