MGOMBA URAIS CCM DK.SAMIA AKOSHWA NA MAENDELEO YALIYOPATIKANA TABORA, AAHIDI MAKUBWA MIAKA MITANO IJAYO
*Aainisha utekelezaji wa Ilani iliyopita, aanika yanayokwenda kufanyika miaka mitano ijayo Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Tabora MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi(CCM) Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amesema ameona maendeleo makubwa yaliyofikiwa katika mkoa ambayo imetekelezwa katika miaka mitano iliyopita na iwapo watapata ridhaa ya wananchi Serikali itafanya makubwa zaidi katika miaka mitano ijayo. Akizungumza katika mkutano…