
RPC LUTUMO -WATOTO WALINDWE KABLA YA KUINGIA MITEGO YA KUHARIBIWA
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Jamii, wazazi, na walezi wameaswa kujenga tabia ya kusema na watoto na kushiriki kikamilifu, katika malezi ya vijana kwa kuwapa mafunzo sahihi kabla hawajaathiriwa na mienendo mibaya inayoweza kusababisha mmomonyoko wa maadili. Hatua hii ni muhimu ili kuwalinda watoto kwa ajili ya kizazi kijacho kilicho na maadili mema ya…