WAZIRI MKUU AKAGUA SHAMBA LA MKULIMA WA KAKAO, KYELA

Waziri Mkuu Kasssim Majaliwa leo Mei 12, 2024 ametembelea shamba la Mkulima zao la Kakao Clement Msalangi lililopo kijiji cha Mababu, Wilayani Kyela Mei 12, Akizungumza baada ya kulitembelea Mheshimiwa Majaliwa amewataka wakulima wa zao hilo wajisajili na watambue idadi ya miche waliyonayo na ukubwa wa mashamba yao ili wakati Serikali ikitoa ruzuku kila mkulima…

Read More

SERIKALI KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA PARACHICHI RUNGWE

SERIKALI imeanza mchakato wa ujenzi wa kituo jumuishi cha huduma za parachichi ambacho kitasaidia kuhifadhi na kuchakata zao la Parachichi kitakachojengwa eneo la Kiwira Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya. Akizungumza baada ya Waziri Mkuu Kassim majaliwa ambaye yuko ziarani Mkoani Mbeya kuhoji kuhusu changamoto ya kuharibika kwa parachichi za wakulima katika eneo hilo, Mkurugenzi wa…

Read More

Sokoine inavyozikimbiza timu Ligi Kuu

LICHA ya Mbeya kuendelea kuandika historia kwa kupandisha timu Ligi Kuu Bara miaka ya karibuni, sintofahamu imebaki jinsi Uwanja wa Sokoine uliopo mjini humo unavyokimbiwa. Mbeya ni miongoni mwa mikoa nchini yenye historia tamu kupandisha timu Ligi Kuu ikiifukuzia Dar es Salaam ambao ni kinara kwa kuwa na idadi kubwa. Kwa sasa Dar es Salaam…

Read More

Jinsi wazazi wanavyoua, kukuza vipaji vya watoto

“Katika kipindi hiki cha changamoto ya ajira, pengine wazazi wangu wangeruhusu kipaji changu cha uchezaji mpira kuendelezwa kingenisaidia kuajirika.” Hiyo ni kauli ya Sadiki Saidi, ambaye ni mhitimu wa shahada ya awali ya sanaa katika Uchumi mwaka 2019 na hadi sasa hajaingia kwenye ajira. Anasimulia kuwa alipokuwa mdogo katika eneo alilokuwa akiishi na wazazi wake…

Read More

Wenye fani, sifa hizi ajira nje nje Polisi

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa vijana wenye elimu ya shahada, astashahada, kidato cha sita na nne, huku moja ya sifa kwa muombaji lazima awe raia wa Tanzania wa kuzaliwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi makao makuu Dodoma Mei 9,2024,  imeeleza miongoni mwa nafasi  hizo…

Read More