Teknolojia hii inavyoweza kumbeba mkulima mdogo

Dar es Salaam. Itakugharimu wastani wa Sh3.81 milioni kwa mwaka kumiliki jenereta linalotumia mafuta kwa ajili ya umwagiliaji katika kilimo na litadumu kwa miaka mitatu pekee. Pia mkulima atalazimika kutumia Sh10 milioni kumiliki mitambo ya nishati ya umeme jua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji ambao kiuhalisia utadumu kwa miaka 20. Hiyo ni kwa mujibu…

Read More

Mbinu rahisi kuushinda msongo wa mawazo

Dar es Salaam.Wakati kila mmoja wetu akijitahidi kusukumana na kukimbizana na maisha ya kila siku, jitihada hizi zinaambatana na misukumo na misongamano mbalimbali ambayo pasipo kukwepa inatuletea msongo wa mawazo na hii huweza kusababisha athari katika afya zetu na hisia zetu pia. Ni muhimu  kila mmoja wetu akafahamu namna au mbinu za kuushinda msongo huu…

Read More

Afande atia neno michezo | Mwanaspoti

“MICHEZO ni fursa ya ajira na burudani na kama unataka kuwa na afya bora ya akili na mwili, huwezi kukwepa mazoezi.” Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Malipo Yona ameyasema hayo leo wakati wa tamasha la michezo lililokwenda sambamba na mdahalo wa utoaji elimu juu ya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi kutoka Kata ya Kibamba. Yona ambaye…

Read More

NAIBU WAZIRI UMMY AWASHUKURU RED CROSS NA TPA KWA MISAADA YA VIFAA SAIDIZI MAAFA KARIAKOO

NA. MWANDISHI WETU Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mheshimiwa Ummy Nderiananga amewashukuru wadau kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu (Red Cross Tanzania) pamoja na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA kwa kutoa misaada ya vifaa saidizi kwa ajili ya kuendelea kusaidia katika zoezi la uokoaji linaloendelea kufuatia…

Read More

Diwani afariki dunia ghafla baada ya kuhutubia mkutano

Iringa. Diwani wa Kiwere, Felix Waya, amefariki dunia ghafla jana Mei 23, 2025, baada ya kumaliza kuhutubia katika mkutano wa ziara ya CCM uliofanyika katika ukumbi wa Masai uliopo kwenye kata hiyo, Wilaya ya Iringa. Akizungumza na Mwananchi leo Mei 24, 2025, Katibu wa UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini, Mfaume Gomangulu, amesema kifo cha Diwani…

Read More

Balua atoboa siri ya mashuti yake

UWEZO wa kupiga mashuti ya mbali, anaoonyesha winga wa Simba, Edwin Balua, nyuma ya pazia anafanya zoezi la kupiga mipira nje ya 18 ya uwanja kabla ya mechi. Katika stori za hapa na pale alizopiga na Mwanaspoti, Balua amesema akiwa mazoezini anapenda  kufunga kwa kupiga mashuti ya mbali, jambo linalomjengea kujiamini wakati wa mechi, kutokuogopa…

Read More