Wagombea kanda nne Chadema kikaangoni leo

Dar es Salaam. Wakati kikao cha siku tatu cha Kamati Kuu ya Chadema kikianza leo Mei 11, 2024, baadhi ya wagombea wa uchaguzi wa kanda nne za chama hicho wameeleza hofu ya ushindani mkali uliopo katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwezi huu. Jumla ya watia 135 nia wa nafasi mbalimbali kutoka Kanda za Serengeti (Mara,…

Read More

Jamii yahamasishwa ushiriki Mwenge wa Uhuru

Unguja. Viongozi, wafanyakazi, wananchi, vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na  wafanyabiashara wameombwa kushiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru mwaka 2024. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Tabia Maulid Mwita ametoa ombi hilo jana Mei 10, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Zanzibar. Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwasili…

Read More

Majaliwa: Tengeni maeneo ya wananchi wafanye mazoezi

Mbeya. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa wilaya na mikoa kuharakisha kutenga maeneo kwa ajili ya wananchi kufanya mazoezi kwa lengo la kuwakinga na magonjwa yasiyoambukiza. Pia,  amewataka wakuu wa mikoa kuwaagiza wakuu wa wilaya kupiga marufuku watumishi wa idara ya ardhi kupima na kuuza maeneo ya wazi. Majaliwa amesema hayo leo Jumamosi Mei…

Read More

Dk.Mpango aagiza trafki kuvaa makoti ya kamera kudhibiti rushwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amelitaka Jeshi la Polisi nchini kuangalia upya mfumo mzima wa utoaji leseni, ukaguzi wa magari, matumizi ya teknolojia hususan kamera za barabarani na matumizi ya Body-cam jackets zitakazoonesha mazungumzo baina ya askari na madereva ili kudhibiti rushwa barabarani, kuimarisha weledi na uthabiti wa…

Read More

RC Malima atamani watalii zaidi Morogoro

Morogoro. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewataka waandishi wa habari kufanya utafiti wa kina wenye lengo la kuibua vivutio vipya ya utalii, ikiwa ni njia ya kutanua wigo ya kuhamasisha watalii zaidi kutembelea vivutio vya utalii. Akizungumza na Mwananchi baada ya ufunguzi wa mafunzo ya nafasi ya mwandisi wa habari sekta ya utalii,…

Read More

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WABUNGE WA KOREA KUSINI IKULU ZANZIBAR LEO MAI 11, 2024.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Wabunge kutoka Nchini Korea Kusini, ukiongozwa na Mhe. Sul Hoon (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-5-2024.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali…

Read More