Sharon akumbukwa kwa uchapa kazi, upendo kwa watu

Dar es Salaam. Wafanyakazi, ndugu na jamaa wa aliyekuwa Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa wamemwelezea kama mtu aliyekuwa na bidii, upendo na mshauri kwa watu wote waliomzunguka. Sharon alifariki dunia alfajiri ya jana (juzi), akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili – Mloganzila. …

Read More

Robertinho: Simba inahitaji mambo mawili tu, itoboe!

SIMBA imeanza maisha mapya bila ya Abdelhak Benchikha aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo ikipata sare ya 2-2 na Namungo mjini Lindi katika Ligi Kuu Bara, huku kocha wa zamani wa klabu hiyo Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ akituliza upepo akisema kwa sasa inatakiwa kufanya mambo mawili tu hali iwe shwari. Simba imeachana na Benchikha aliyedumu…

Read More

Wazazi watakiwa kuwalinda watoto kipindi cha likizo na sikukuu

Mwenyekiti wa Chipkizi Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro Jeremia Kisena Mabuba amewataka wazazi na walezi kuwalinda watoto na vitendo vya ukatili hasa kipindi hiki Cha likizo na sikukuu. Mabuba amesema kuwa ataungana na Serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watoto hasa wakiume ambao wanaonekana wamesahaulika katika jamii…

Read More