
Heineken Tanzania Yashirikiana na Lead Foundation ya Kupambana na Mabadiliko ya Tabianchi na Kurejesha Misitu
Katika kukabiliana na ongezeko la athari za mabadiliko ya tabianchi na uharibifu wa mazingira, kampuni ya Heineken Tanzania imeanzisha ushirikiano wa kimkakati na shirika la mazingira la Lead Foundation. Lengo la ushirikiano huu ni kufanya mipango endelevu ya kurejesha misitu iliyoharibiwa na kulinda mazingira yetu. Meneja wa Kampuni ya Heineken Tanzania, Obabiyi Fagade akizungumza na…