
Mafuwe aahidi soko la kisasa kwa wafugaji wa Kia
Hai. Mgombea ubunge wa Jimbo la Hai kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Saashisha Mafuwe, ameahidi kutumia ushawishi na mahusiano yake ndani ya Serikali kuhakikisha soko la mnada wa mifugo lililopo katika eneo la Mijohoroni, Kata ya Kia, linaboreshwa na kujengwa kwa viwango vya kisasa. Amesema lengo la maboresho hayo ni kuwawezesha wafugaji kuuza mifugo yao…