
VIJANA WA JKT MISUNGWI WATAKIWA KUITUMIKIA TAIFA KWA UZALENDO
::::::: Mkuu wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Johari Samizi amewataka vijana waliojiunga na mafunzo ya jeshi la Akiba mwaka huu wilayani humo kuhakikisha wanayatumia mafunzo hayo vizuri ikiwa ni pamoja na kuwa wazalendo kwa taifa lao sambamba na kuendelea kuitunza amani iliyopo Samizi ametoa wito huo katika hafla fupi ya kufungua mafunzo hayo yaliyoambatana…