
WABUNGE WAIKUBALI BAJETI YA 627,778,338,000/- WIZARA YA MAJI
Na Mwandishi Wetu BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia kwa kishindo na kwa asilimia mia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Bajeti ya Wizara ya Maji yenye jumla ya Shilingi 627,778,338,000 ili kwenda kutekeleza kazi na shughuli mbalimbali za Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025. Waziri wa Maji Jumaa Aweso…