
Airtel yakabidhi pikipiki kwa mshindi wa Santa Mizawadi, yamaliza droo kwa kishindo
Airtel Tanzania imeendesha droo ya nne ya Airtel Santa Mizawadi, ambayo inahitimisha kampeni hiyo maalum iliyolenga kubadilisha Maisha ya wateja na mawakala wa mtandao huo wa simu za mkononi. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam leo Januari 14, 2024, Mkuu wa Mawasiliano na Uhusiano, Jackson Mmbando amesema lengo la zawadi…