
WAZIRI UMMY:MARUFUKU KUUZA VITABU VYA KLINIKI
Na WAF – Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amepiga marufuku kwa watendaji wa Wizara ya Afya na wadau wake kutowauziaWajawazito vitabu vya kliniki huku akimuagiza Katibu Mkuu kuhakikisha vitabu vinapatikana muda wote. Waziri Ummy amesema hayo Mei 10, 2024 jijini Dodoma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wakati hafla ya kuzindua…