
Kwa Wahehe sio mbwa tu, hata panya nao wanalika
Iringa. Wakazi wa Kijiji cha Ndengisivili wilayani Kilolo mkoani Iringa, wamesema ulaji wa panya umekuwa silaha kubwa katika kupambana na uharibifu wa mazao yao hasa mahindi shambani. Wamesema mbali na kuokoa mazao, nyama ya panya ina madini muhimu kwenye mwili wa binadamu jambo lililowafanya waipende nyama hiyo. Kati ya utani unaowatambulisha zaidi wakazi wa Mkoa…