TAASISI ZA FEDHA ZAKARIBISHWA KUTOA ELIMU MUSOMA

Na. Josephine Majura WF, Mara Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma, Bi. Ainess Anderson, amezikaribisha Taasisi mbalimbali zinazojihusisha na masuala ya fedha kwenda kutoa elimu ya fedha ikiwemo uwekezaji na matumizi sahihi ya mikopo kwa wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Musoma. Alitoa wito huo wakati wa mafunzo ya elimu ya fedha yaliyotolewa…

Read More

Usaliti kidijitali unavyowaweka wenza majaribuni

Mwanza. Katika ulimwengu wa sasa uliotawaliwa na teknolojia na mitandao ya kijamii, uaminifu katika uhusiano unapitia majaribu mapya.  Ingawa usaliti wa kimapenzi si jambo geni, kuibuka kwa njia mpya za mawasiliano kama WhatsApp, Instagram, Facebook, Snapchat, na hata programu za kutafuta wachumba kumebadilisha sura ya usaliti.  Siku hizi, si lazima mtu ahusike kimwili na mtu…

Read More

SIMANJIRO WASHIRIKI KULIOMBEA TAIFA – MICHUZI BLOG

Na Mwandishi wetu, Mirerani Viongozi wa dini, wa Serikali, wanachama na wakereketwa wa CCM wa Wilaya ya Simanjiro, Mkoani Manyara, wamefanya maombi ya kuliombea Taifa kwa kutimiza miaka 60 ya muungano wa Tanzania. Maombi hayo yamefanyika mji mdogo wa Mirerani yakiongozwa na viongozi wa madhehebu mbalimbali huku mgeni maalum akiwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa…

Read More

Gamondi achekelea kuichapa Simba, ausogelea ubingwa

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amesema licha ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, amekiri kuwa haikuwa rahisi huku akiwamwagia sifa mastaa wake kwa kufanya kazi kwa usahihi. Gamondi amefunguka hayo muda mchache baada ya kukamilika kwa mchezo wa Kariakoo Dabi ambapo timu yake imefisha pointi 58 na kuendelea kujikita…

Read More

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAAZIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUZINDUA VIUNGA VILIVYOBORESHWA VYA INDEPENDENCE SQUARE, DODOMA

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaji Jabir Shakimweri, akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi viunga vilivyoboreshwa vya Independence Square, akiwa pamoja na Meneja wa Tawi la Dodoma la Benki ya Akiba, Bi. Upendo Makula (wa pili kushto). Wengine katika picha ni wageni waliohudhuria hafla hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaji Jabir Shakimweri, akikagua…

Read More