Baleke aibukia Rayon Sports | Mwanaspoti
STRAIKA wa zamani wa TP Mazembe, Simba na Yanga, Jean Baleke ametua Rayon Sports ya Rwanda kwa kupewa mwaka mmoja wa kuitumikia klabu hiyo iliyomaliza nafasi ya pili katika Ligi Kuu ya Rwanda msimu uliopita ikizidiwa pointi nne na mabingwa mara sita mfululizo, APR. Nyota huyo raia wa DR Congo kwa muda wa miezi sita…