OFISI YA MAKAMU WA RAIS, IUCN NA UNEP KUTOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI
Na Mwandishi Wetu, Mbeya, 27.6.2024 Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) inatarajia kuendesha programu ya mafunzo ya ujasiriamali kwa wajasiriamali 50 waliopo katika Halmashauri saba zinazotekeleza Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya Bioanuai Tanzania (SLR). Mafunzo hayo ya mfumo wa kidijitali yatahusisha…