
Zoezi la sensa Uganda laanza na malalamiko ya wafanyakazi – DW – 10.05.2024
Baadhi ya maafisa walioshiriki mafunzo ya kuendesha zoezi la sensa Uganda ambalo limeanza Alhamisi usiku wanalalamika kuwa hawajapokea vitendea kazi ikiwemo kifaa cha kidijitali cha kurikodi taarifa kutoka kwa raia. Isitoshe hawana sare wala vitambulisho kuweza kukaribishwa majumbani mwa watu ambao wamesalia makwao wakisubiri kuhesabiwa. Serikali ilitangaza Ijumaa kuwa siku ya mapumziko kwa ajili ya sensa. Soma…