
UCSAF yaliongezea nguvu shirika la Posta uhudumiaji mizigo ukipaa
Dar es Salaam. Serikali imeliongezea nguvu shirika la Posta kwa kulipatia vifaa vitakavyorahisisha utoaji huduma wakati ambao limeshuhudia ukuaji wa usafirishaji wa bidhaa ndani ya nchi kwa asilimia 15.24 kati ya robo mwaka iliyoishia Machi na Juni mwaka huu. Kwa mujibu wa ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), idadi ya bidhaa za kiposta zilizotumwa…