Kenya : Siku ya kuwaomboleza walioathiriwa na mafuriko

Rais William Ruto wa Kenya ametangaza kuwa siku ya leo  Ijumaa kuwa ni siku ya mapumziko ili kuwaomboleza watu 238 waliopoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyoiathiri nchi hiyo. Rais Ruto jana alitangaza pia itakuwa siku ya kupanda miti ili kusaidia kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Kenya pamoja na maeneo mengine ya Afrika Mashariki yameathiriwa…

Read More

Simbachawene: Matumizi ya e-office serikalini ni lazima

Iringa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka wakuu wa taasisi zote za umma kutumia Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-office) katika utendaji kazi na kuachana na matumizi makubwa ya karatasi katika utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka. Wito huo umetolewa jana Alhamisi Mei 9, 2024 wakati…

Read More

Simba Queens kama Yanga tu Chamazi

KAMA ilivyo kwa Mabingwa Ligi Kuu Bara, Yanga wamekuwa na bahati kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi ndivyo ilivyo kwa Simba Queens na mechi nane ilizocheza hapo imeshinda zote. Simba hadi sasa iko nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya Wanawake (WPL) ikiongoza msimamo na pointi 37 baada ya mechi 13 ikishinda 12 na…

Read More

Mkakati wa kuongeza ushiriki wa wazawa miradi ya ujenzi

Kamamti ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipongeza Wizara ya Ujenzi kwa kuandaa andiko la mkakati wa kuwawezesha makandarasi wazawa na washauri elekezi kwenye utekelezaji wa miradi ya Ujenzi na kusisitiza andiko hilo kushirikisha wataalamu kutoka Sekta mbalimbali nchini ili kuweza kuleta tija kwa Taifa. Akizungumza katika Semina iliyofanyika jijini Dodoma Aprili 9, 2024 Mwenyekiti wa…

Read More

Majokofu ya nyumbani yabainika kuhifadhia damu Korogwe

Dar es Salaam. Mwezi mmoja baada ya kubainika jokofu la matumizi ya nyumbani kuhifadhia damu katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, hilo limebainika tena mkoani Tanga.  Kwa mujibu wa taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali (Tamisemi), Mkurugenzi wa Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Rashid Mfaume…

Read More

Pamba yavunja kambi, bodi yaachiwa msala

KIKOSI cha Pamba Jiji kilivunja kambi yake juzi (jumatano) wachezaji na benchi la ufundi wakipewa mapumziko na kuruhusiwa kuondoka, huku hatima ya kinachofuata ikiachiwa bodi ya klabu hiyo. Pamba uilivunja kambi yao baada ya mchezo maalum wa kukabidhi ubingwa wa Championship, kati ya timu hiyo dhidi ya Ken Gold (bingwa) kwenye Uwanja wa Azam, jijini…

Read More

Vitengo vya habari viendeshwe kwa weledi

KLABU za michezo ni taasisi kama taasisi nyingine zenye malengo ya kufikia na wadau wa kutumikia. Zinaweza kuwa taasisi za hiari au za kibiashara kutegemea walivyoamua waendeshaji wake. Klabu yoyote ya michezo ingependa ikue katika kufikia wadau wake. Ulimwengu wa sasa hauruhusu taasisi kuwasha taa yake na kuifunika. Mawasiliano yamekuwa ni mahitaji muhimu kwa taasisi…

Read More

Wananchi wasisitizwa kutunza vyanzo vya maji

Bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu imeendelea kusisitiza wananchi kuacha kufanya shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya maji kwa kuzingatia Sheria za mita sitini Wito huo umetolewa na mwanasheria bodi ya maji Bonde la Wami Ruvu Aloyce Lyimo wakati akizungumza jukwa la wadau wa maji wa kidakio cha Wami ambapo amesema licha ya elimu…

Read More