
T-PESA YATAKIWA KUZINGATIA SHERIA ZA FEDHA NA UBUNIFU KATIKA UTOAJI HUDUMA
TTCL PESA LTD (T-PESA,) Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL,) imehakikishiwa kupewa ushirikiano pamoja na mahitaji ya rasilimali na kutakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria za Fedha za ndani na nje ya Nchi na kuwa na ubunifu wa biashara na utendaji katika kutoa huduma za kidijitali ndani na nje ya Nchi. Hayo yameeelezwa…