Rasmi Fadlu afunuliwa faili la Bajaber

WAKATI mashabiki wa Simba wanasubiri kwa hamu kumuona Mohammed Bajaber akiichezea timu hiyo kwa mara ya kwanza katika mechi za mashindano, kocha wa zamani aliyewahi kumnoa wakati akiwa Polisi Kenya, amempa ‘code’ kocha Fadlu Davids aweze kumfaidi vyema kikosini. Bajaber ni kati ya…

Read More

HakiElimu na ALI For Impact Waibuka na Mpango Kuibua Viongozi Chipukizi Mashuleni

Katika kuhakikisha taifa linapata viongozi bora wa kesho, taasisi zisizo za kiserikali za HakiElimu na The African Leadership Initiative For Impact (ALI For Impact) zimezindua programu maalum ya kuwawezesha vijana walioko mashuleni kupata maarifa na ujuzi wa uongozi. Mpango huu mpya unalenga kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuwapa wanafunzi nafasi ya kutambulika, kuendelezwa na hatimaye…

Read More

MAJALIWA ATAKA UWIANO SAWA WA WALIMU KATI YA MIJINI NA VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Juni 6, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) …….. *Aagiza Wakurugenzi wa Halmashauri na Maafisa Elimu wapitie ikama zao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Elimu na Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini wafanye mapitio ya ikama zao kuangalia mlundikano wa walimu katika maeneo ya mijini…

Read More

WATUMIAJI WA TEHAMA WATAKIWA KUJILINDA PAMOJA NA VIFAA VYAO KUEPUSHA TAARIFA ZAO KUINGILIWA

Na Pamela Mollel,Arusha Watumiaji wote wa Tehama wametakiwa kuhakikisha wanajilinda wao pamoja na vifaa wanavyovitumia ili kuepusha taarifaa zao kuingiliwa. Rai hiyo ilitolewa hivi karibu jijini Arusha na Mtaalamu wa Tehama kutoka Tasaf, Peter Lwanda katika kongamano la usalama mtandaoni “Tujitaidi kujilinda kwa kuwa sasahivi teknolojia imekuwa kwa kasi kubwa hivyo ni muhimu kulinda hata…

Read More

ZDCEA yanasa watano, kilo 798 dawa za kulevya

Unguja. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama imekamata kilo 798.89 za dawa za kulevya. Aina ya dawa zilizokamatwa katika operesheni maalumu nne tofauti zilizofanywa kuanzia Oktoba mwaka huu ni pamoja na bangi, cocaine, heroin, methamphetamine na shisha zilizochanganywa na dawa za…

Read More

SACP Mahanga: Ulinzi viwanjani unahitaji ujasili

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Polisi Jamii Kamisheni ya Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Jonas Mahanga amesema suala la ulinzi na usalama katika viwanja vya michezo linahitaji moyo na ujasiri pamoja na uadilifu ili kuweza kufikia malengo ya kuimarisha sekta za michezo. Ameyasema hayo wakati wa kufunga mafunzo ya siku tatu ya…

Read More