
Mkutano wa demokrasia: Suala la Katiba mpya bado moto
Dar es Salaam. Kilio cha Katiba bado hakijapoa. Mkutano wa siku mbili wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa, umependekeza masuala mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko madogo ya kikatiba sambamba na kuendelea na mchakato wa Katiba Mpya. Mapendekezo hayo yalisomwa jana na Buruani Mshale kutoka taasisi ya Twaweza katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari na…