
Scholz na upinzani walumbana bungeni kuhusu uhamiaji – DW – 11.09.2024
Kansela Scholz ametetea sera ya serikali yake ya uhamiaji. Alisisitiza hilo alipohutubia bungeni leo Jumatano pamoja na haja ya nchi ya Ujerumani ya kuwavutia raia wa kigeni wenye ujuzi. Kufuatia kushindikana kwa mazungumzo ya uhamiaji kati ya serikali na upande wa upinzani, Kansela Scholz wa chama cha SPD na upinzani wa vyama vya CDU na…