
KAMPUNI YA AIRTEL YAHITIMISHA KAMPENI YA UPIGE MWINGI MPAKA AFCON
Meneja Mahusiano kutoka Airtel, Jackson Mbando akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Mei 09, 2024 wakati akiendesha droo ya mwisho ya kampeni ya upige mwingi mpaka Afcon Kila mmoja ni Mshindi.Kampeni hiyo ilianza mwezi januari mwaka huu na imehitimishwa hii leo ikiwa imetimiza siku 90 tangu ianze. Meneja Mahusiano kutoka Airtel,…