
Mageuzi makubwa Sekta ya Ardhi yanakuja-Silaa
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema mageuzi makubwa Sekta ya ardhi yanakuja baada ya kushuhudia utiaji saini kati ya Wizara yake na Mtaalamu Mshauri wa Mradi Mkubwa wa Kuimarisha na Kuboresha Miundombinu ya Upimaji na Ramani (LDI) wenye thamani takribani Sh Bilioni 150. Waziri Silaa…