
KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MINNE TRA IMEFUKUZA KAZI WATUMISHI 14, SITA WAMEPUNGUZIWA MSHAHARA NA KUSHUSHWA VYEO
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuimarisha weledi na uadilifu wa watumishi wa taasisi hiyo ambapo katika kipindi cha miaka minne imefukuza kazi watumishi 14 na kushusha mshahara watumishi 6 na kushushwa cheo na kupunguziwa mshahara watumishi 12 huku watumishi 22 wakipewa barua za onyo. Kauli hiyo imetolewa na Kamishina…