BILA ‘PPP’ MAENDELEO YATAKAWIA – BALOZI DKT. MWAMPOGWA

………..  NA MWANDISHI WETU, TANGA Ushirikiano kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (Public and Private Partnership – PPP) ni muhimu sana katika kuchagiza kasi ya maendeleo na bila ushirikiano huo, maendeleo yatakawia kuwafikia wananchi kule walipo. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru Tanzania – Watoto wa Afrika, Balozi Dkt. Mohamed…

Read More

Dosari ya kisheria yamnusuru kifungo cha maisha jela

Arusha. Mahakama ya Rufani imetengua hukumu ya kifungo cha maisha jela aliyokumiwa mkazi wa Ilala, Dar es Salaam, Matiku Thomas baada ya kutiwa hatiani kwa ulawiti. Hukumu imetolewa ikielezwa Mahakama ilikosea kumtia hatiani ilipobaini utofauti wa ushahidi na hati ya mashtaka aliyoshtakiwa mahakama ya awali. Matiku alidaiwa kumlawiti mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri…

Read More

Tanzania yakosa Bil 9.3 za nyama

  KUTOKANA na uwepo wa magonjwa ya mifugo nchini Tanzania kumesababisha kushindwa kuuza tani 882,182.8 za nyama zenye jumla ya thamani ya USD 3,705,167.76 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 9.3 katika nchi za China, Afrika Kusini, Libya, Umoja wa Falme za Kiarabu, Mauritius na Singapore. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Hali hiyo imesababisha…

Read More

Watumia sauti zao kujikwamua kiuchumi

Kondoa. Ubaguzi wa kutowapeleka watoto wa kike shuleni unaofanywa na baadhi ya wanaume katika kijiji cha Mnemia, Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, umewasukuma wanawake kuanzisha kikundi cha uzalishaji mali ili kuwakwamua na changamoto hiyo. Kutokana na kukosa mtaji, kikundi hicho kinachojulikana kama Subira, kilichoanzishwa mwaka 2010 kwa kutegemea mapato yanayotokana na uimbaji kabla ya kuingia…

Read More

Meridianbet Missions, Njia Mpya Ya Kuburudika Na Kushinda Zaidi

KARIBU kwenye msimu mpya wa michezo ya kasino kupitia Meridianbet Missions, mfumo wa kipekee uliobuniwa kwa ajili ya wapenzi wa michezo ya kubashiri. Mfumo huu unabadilisha kila dau lako kuwa safari yenye ushindi mkubwa, ambapo kila unachofanya, iwe ni kucheza kasino au kuspin slots unazozipenda unapata point zinazokuwezesha kufungua zawadi kabambe kama vile bonasi, free…

Read More