
DC Kilombero ampa siku 16 mkandarasi kukamilisha matengenezo reli ya Tazara
Mlimba. Mkuu wa wilaya ya Kilombero, Danstan Kyobya ameongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kukagua matengenezo ya reli ya Tazara iliyosombwa na maji katika eneo la Lumumwe, kata ya Mlimba kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza wakati wa ziara hiyo leo Mei 9, 2024, Kyobya amemtaka mkandarasi aliyepewa kazi ya matengenezo ya…