
Yanga Princess haijakata tamaa WPL
KIRAKA wa Yanga Princess, Wema Maile amesema kama wachezaji hawatamani kupata matokeo wanayopitia sasa hivi na watafanya vizuri mechi zijazo. Yanga haijaonja ushindi wowote tangu ligi ianze, ikianza sare ya 1-1 na Bunda Queens, 0-0 Alliance, 1-1 na Mashujaa Queens na kupoteza dhidi ya Simba kwa bao 1-0. Akizungumza juu ya mwenendo wa timu hiyo,…