
WAZIRI AWESO ABAINISHA MIRADI YA MAJI ILIYOKAMILIKA NA INAYOENDELEA
“Wizara ya Maji imekamilisha miradi mikubwa na ya kimkakati ikiwemo mradi wa maji Arusha ambao umeongeza uzalishaji wa maji kutoka lita milioni 40 hadi lita milioni 200 kwa siku na muda wa upatikanaji wa huduma ya maji kutoka saa 12 hadi saa 24 kwa siku.” “Pia , mradi wa maji wa Butimba unaonufaisha wakazi wapatao…