
Mifuko ya hifadhi ya jamii kulipa riba ucheleweshaji wa mafao
Dodoma. Serikali ya Tanzania imeanzisha riba kwa mifuko ya hifadhi ya jamii itakayosababisha ucheweshaji wa mafao kwa wanachama huku Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ukilipa asilimia 15 wakati Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) utalipa asilimia tano. Hayo yamesemwa leo Jumanne Februari 4, 2025 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri…