Huku kukiwa na uharibifu mkubwa wa mji wa Gaza, mkuu wa UN anafanya upya simu ya kukomesha – maswala ya ulimwengu

“Ni muhimu kufikia mara moja mapigano huko Gaza,” Katibu Mkuu aliwaambia waandishi wa habari pembeni mwa Mkutano wa Tisa wa Kimataifa wa Tokyo juu ya Maendeleo ya Afrika (TICAD9)“”na kutolewa bila masharti ya mateka wote na kuzuia kifo kikubwa na uharibifu ambao operesheni ya kijeshi dhidi ya Gaza City ingeweza kusababisha.“ Karibu watu milioni moja…

Read More

Jalada tukio la mauaji ya mwanafunzi lapelekwa NPS

Arusha. Jalada la mashtaka kuhusu tuhuma za mauaji zinazowakabili wanafunzi 11 limepelekwa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka (NPS) kwa hatua zaidi. Wanafunzi hao wanatuhumiwa kwa mauaji ya Yohana Konki (17), mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Qash. NPS ndiyo ofisi yenye jukumu la kuamua watuhumiwa washtakiwe kwa kosa lipi. Yohana alizikwa jana,…

Read More

Vodacom yavuna faida ya Sh90.5 bilioni

Dar es Salaam. Kuongezeka kwa wateja na mapato ya huduma zimetajwa kuwa sababu zilizofanya kampuni ya Vodacom kurekodi faida ya zaidi ya Sh90.5 bilioni baada ya kodi. Hayo yamebainishwa kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa, ambao walitajiwa kwamba rekodi hiyo imewekwa katika mwaka wa fedha wa Vodacom ulioishia Machi 31, 2025. Hivyo, wanahisa hao…

Read More

Biteko aagiza minada yote kutumia nishati safi

‎Dodoma. Ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa mkakati wake, Serikali imeagiza minada yote nchini kutumia nishari safi ya kupikia, ikianza na majiko ya kisasa ya kuchomea nyama kwenye mnada wa Msalato mkoani Dodoma, yanayotumia mkaa mbadala. Akizungumza leo Agosti 21, 2025 kwenye hafla ya uhamasishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wadau wanaochoma nyama…

Read More

Foleni ya Kamata, Buguruni yamkera Ulega, atoa maagizo

Dar es Salaam. Foleni ya magari katika maeneo ya Kamata na Buguruni, imemkera Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, kiasi cha kumfanya atoe maagizo kwa watendaji wa wizara. Ulega amesema hayo leo, Alhamisi Agosti 21, 2025 jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kumtunuku tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan, iliyotolewa na makandarasi nchini kwa kuthamini…

Read More

WAOMBA KUONDOLEWA VIKWAZO BIASHARA YA MAZAO YA KILIMO IKOLOJOA MIPAKANI

Mwandishi wetu Arusha SERIKALI katika nchi za Afrika ya Mashariki, zimeombwa kuondoa vikwazo ambavyo vinaathiri biashara za mipakani za mazao ya kilimo Ikololojia, hasa kwa wajasiriamali wadogo ili kuwezesha kukuza biashara hiyo. Utafiti uliofanywa kuhusiana na biashara za kilimo Ikolojia (Kilimo Hai) mipakani zimebaini kuna changamoto kadhaa ikiwepo viwango vya ubora wa bidhaa,mifumo ya ulipaji…

Read More

Abdi Banda asaini Dodoma Jiji

BEKI wa zamani wa Simba na Coastal Union, Abdi Banda, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia Dodoma Jiji baada ya ule wa miezi sita kumalizika msimu huu. Nyota huyo alijiunga na kikosi hicho Januari 15, 2025 akitokea Baroka FC ya Afrika Kusini, ambako alivunja mkataba miezi mitatu baada ya kuipeleka FIFA timu ya Richards…

Read More

Nani Kukupatia Mzigo wa Maana Leo?

KAMA kawaida kila siku kuna mechi kibao za ushindi zinapigwa kwenye Mataifa mbalimbali, mechi za michuano kibao kuendelea leo. Meridianbet inakukaribisha utengeneze jamvi lako sasa. Mechi za kufuzu CONFERENCE LEAGUE zinaendelea siku ya leo FSV Mainz 05 atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Rosenborg BK kutoka kule Norway huku wakipewa ODDS 3.80 kushinda mechi hii ya…

Read More

Hongera Simba Queens kwa kujivua gamba usajili

KATIKA dirisha linaloendelea la usajili, Simba Queens imejilipua hasa kwa kuacha majina mengi makubwa ambayo mengine hayakutegemewa kama yangeweza kupigwa chini. Mfungaji Bora wa kikosi hicho kwa msimu uliopita, Jentrix Shikangwa ni miongoni mwa mastaa ambao wamepewa mkono wa kwaheri na Simba Queens ambayo msimu uliopita ilimaliza katika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu ya…

Read More