Kagame kuchuana na wagombea wawili katika uchaguzi ujao – DW – 07.06.2024
Mkuu wa Tume hiyo ya Taifa ya Uchaguzi Oda Gasinzigwa ametangaza kupitia televisheni ya taifa kuwa walipokea jumla ya maombi tisa ya wagombea kiti cha urais, lakini orodha ya muda baada ya mchujo imewaidhinisha wagombea watatu katika uchaguzi wa Julai 15 kuwa Paul Kagame wa chama tawala cha RPF, Frank Habineza wa Democratic Green Party na…