
Dar inavyozizidi nchi zaidi ya 10 kwa utajiri Afrika
Pengine ni vigumu kuamini, lakini ndio ukweli wenyewe. Kama Dar es Salaam ingekuwa ni nchi ingekuwa na uchumi mkubwa kuliko mataifa mengi ya Afrika, hata Ulaya pia. Kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa kikanda inayotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kila baada ya miezi mitatu, pato la Dar es Salaam hadi Desemba 2022 lilikuwa…