
Airtel waitendea haki kauli mbiu wiki ya huduma kwa wateja “Above and Beyond’ kwa kusema ’Sababu ni Wewe’
· Wakurugenzi wa Airtel wahudumia wateja ana kwa ana · Airtel wote wawafuata wateja mtaani wiki hii ‘Sababu ni Wewe’ ndio maana huduma na bidhaa za Airtel zinakupa zaidi. DAR ES SALAAM, Octoba 8, 2024, Katika maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja mwaka huu, wakurugenzi wa Airtel Tanzania wameonesha dhamira yao ya kuendelea kutoa…