Fadlu: Changamoto zimetukomaza, tutarudi kivingine

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids, amesema pamoja  na kupoteza nafasi ya kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya RS Berkane, kikosi hicho kimeonyesha ukuaji mkubwa wa kiakili na kimchezo kutokana na changamoto walizokutana nazo kabla na wakati wa fainali hiyo. Akizungumza baada ya sare ya 1-1 iliyopatikana kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar matokeo…

Read More

Fadlu: Sasa tunawataka Al-Masry | Mwanaspoti

BAADA ya ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameonyesha kuridhishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi chake akisisitiza kuwa kazi bado haijaisha, kwani malengo yao makubwa msimu huu wa 2024/25 ni kushinda mataji, lakini akituma salamu kwa wapinzani wao wajao, Al Masry. Simba inakutana…

Read More

BRELA “unaweza kupata Leseni popote kikubwa mtandao”

Katika kuhakikisha wanaendelea kurahisisha utoaji huduma Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umesema kupitia mfumo wa kimtandao wa ORS unaoweza kupata huduma zao zikiwemo za kufanya sajili za kibiashara kama leseni ya kiwanda au kusajili ukiwa kokote kule hata kama utakuwa kitandani. Hayo yamesemwa na Endrew Mkapa ambaye ni Mkurugenzi wa Leseni kutoka…

Read More

Pacome amuangukia Gamondi, kocha amgomea

SAA chache kabla ya Yanga kuanza safari ya kuja uwanjani kiungo wa timu hiyo amewasilisha maombi kwa kocha wake ampe hata dakika 20 za mchezo huo. Taarifa kutoka ndani ya Kambi ya Yanga ni kwamba baada ya kiungo huyo kufanya mazoezi vizuri ya siku tatu na kikosi hicho, akawasilisha maombi hayo kwa Gamondi, lakini akagoma….

Read More

Dk Msonde: Jamii itumie wataalamu wa majenzi kwa makazi bora

Dar es Salaam. Serikali imewataka wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi nchini kuhakikisha jamii inawatambua na kuwatumia katika masuala ya majenzi ili waweze kuwa na makazi bora. Pia, imetoa maagizo manne kwa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), ikiwemo kufanya tafiti za kina ili kuwatambua wahitimu wa taaluma hizo na kuhakikisha wanasajiliwa…

Read More

WAHASIBU WA MAHAKAMA WATAKIWA KUZINGATIA MAFUNZO WATAKAYOYAPATA ILI KWENDA KUONDOA DOSARI NDOGO NDOGO

NA Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma MTENDAJI.Mkuuu wa Mahakama ya Tanzania Profesa Elisante Ole Gabriel amewataka wahasibu wa Mahakama hapa nchini kuzingatia mafunzo ili kwenda kuondoa dosari ndogo ndogo zinazobainika kwenye ripoti ya CAG kwa upande wa mahakama. Pia amewataka wahasibu hao,ambao hawana CPA kwenda kuongeza elimu ili kuzidi kupanua wigo wa taaluma hiyo kutokana na…

Read More