
Mwenge wa Uhuru wamulika ununuzi wa umma
Dar es Salaam. Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2024, Godfrey Mnzava ameshauri zabuni za ununuzi wa umma kutangazwa kwenye mfumo ili kupunguza malalamiko na manung’uniko. Mwaka 2023 Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ilianzisha mfumo mpya wa ununuzi wa kieletroniki (NeST) utakaosaidia kudhibiti rushwa wakati wa mchakato wa zabuni,…