KHRC yawashtaki mawaziri kwa uzembe – DW – 18.05.2024

Kelly Malenya, wakili wa KHRC, ameliambia shirika la habari la Ujerumani dpa kwamba waliwasilisha kesi hiyo mahakamani hapo jana na kwamba wamewashtaki Kithure Kindiki Waziri wa Mambo ya Ndani, Soipan Tuya waziri wa Mazingira na Alice Wahome waziri wa Ardhi. Mwanasheria mkuu Justin Muturi ni miongoni mwa watu wanaohusishwa pia katika kesi hiyo inayolikabili pia…

Read More

NCHIMBI ALIVYOINGIA KILIMANJARO KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bomang’ombe, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, leo Juni 4, 2024, katika Uwanja wa Bomang’ombe, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya kikazi mkoani humo, ambapo mbali ya umati mkubwa wa wananchi, Balozi Nchimbi na msafara…

Read More

Maafande waingilia dili la Mpepo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Eliuter Mpepo ambaye aliwahi kufanya vizuri katika Ligi Kuu Zambia akiwa na Trident FC anajiandaa kutua Tabora United kwa mkataba wa mwaka mmoja, lakini pia Tanzania Prisons ikimpigia hesabu. Mpepo ambaye amefunga mabao saba na kutoa asisti tano kwenye Ligi Kuu Zambia, ameonekana kuwa chaguo muhimu kwa timu hizo zinazohitaji…

Read More

Kiama wanaopangisha wachimbaji wadogo | Mwananchi

Dar es Salaam. Serikali imeamua kuja na mwarobaini wa kupunguza migogoro katika sekta ya madini inayohusisha wamiliki wa leseni za uchimbaji  na wachimbaji wadogo. Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari  jijini Dar es Salaam kuhusu miaka minne ya mafanikio ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya madini, Waziri wa Madini, Antony Mavunde,  amesema…

Read More

Zaidi ya watu 120 wauawa katika mji wa Sariha nchini Sudan – DW – 28.10.2024

Katika taarifa, muungano huo wa madaktari umesema kuwa takriban watu 124 waliuawa na wengine 200 walijeruhiwa katika mji huo wa Sariha na kuongeza kuwa wanamgambo hao wa RSF pia waliwakamata watu wengine 150. Picha zilizosambaa mtandaoni, zingine zikisambazwa na kundi hilo la RSF lenyewe, zilionesha wafuasi wa kundi hilo wakiwadhulumu watu waliowazuia. Video moja ilionyesha…

Read More

Wachaga wanavyokula maisha mwisho wa mwaka

Moshi. “Wachaga hatuna shughuli ndogo.” Hayo ni baadhi ya maneno yanayozungumzwa na wenyeji wa Mkoa wa Kilimanjaro,  ambao wameendelea kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka, wakifanya sherehe kwa kuchoma na kunywa. Baadhi yao ni wale waliotoka mikoa mbalimbali kuja mkoani hapa kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka pamoja na ndugu jamaa na marafiki. Hata hivyo,…

Read More

Vijana kuchangamkieni fursa za uhasibu

 BODI ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) imewahimiza vijana wa kitanzania nchini kuchangamkia fursa za Uhasibu na Ukaguzi kutokana na kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo endelevu ya Taasisi, makampuni ili kuleta tija kwenye ukuaji wa uchumi na ujenzi wa Taifa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu…

Read More