
DKT. NDUGULILE KUWANIA UKURUGENZI MKUU WHO KANDA YA AFRIKA
Na. WAF – Dar Es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemchagua na kumpendekeza Dkt. Faustine Ndugulile kugombea nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika ambapo ni kwa mara ya kwanza Tanzania inatoa mgombea wa nafasi hiyo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema…