Wafanyakazi wa Barrick washiriki NBC Dodoma Marathon 2024

    Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki.Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini wameshiriki katika mbio za…

Read More

Uchaguzi wa Malawi: Chakwera, Mutharika wajitangazia Ushindi

Lilongwe. Vyama viwili vikuu vya siasa nchini Malawi, Democratic Progressive Party (DPP) na Malawi Congress Party (MCP), vimejitangazia ushindi licha ya matokeo rasmi kutoka Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) yakiendelea kusubiriwa. MCP, ambacho ni chama tawala, mgombea wake wa urais ni Rais Dk Lazarus Chakwera, anayetetea kiti hicho kwa muhula wa pili, na mgombea…

Read More

Ramaphosa katika mtanziko Afrika Kusini

Katika Uchaguzi Mkuu wa Mei 29, 2024 nchini Afrika Kusini, chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikabiliwa na changamoto kubwa zaidi kuwahi kutokea tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi. Matokeo ya uchaguzi huo yalionyesha kuporomoka kwa umaarufu wa ANC, hivyo kukosa wingi wa kura unaohitajika kuunda serikali peke yake. Hali hii imekilazimu…

Read More

Hekima, busara nguzo muhimu kwa makuzi ya mtoto

Katika ulimwengu wa leo ambao umejaa vishawishi, mashinikizo na changamoto nyingi, hakuna zawadi bora ambayo mzazi anaweza kumpatia mtoto wake  zaidi ya kumjengea msingi wa hekima na busara. Tunaambiwa kuwa hili ni jukumu lisiloisha na linahitaji subira, mawasiliano ya mara kwa mara na mfano wa kuigwa baina ya mzazi na mwanawe. Na tunaambiwa kwa kuwafundisha…

Read More

Mikopo ya Fedha ya Hali ya Hewa ni Maafa kwa Jumuiya za Kiafrika zilizolemewa na hali ya hewa – Masuala ya Ulimwenguni

Waandamanaji katika COP29 wanataka haki ya hali ya hewa. Credit: Isaiah Esipisu/IPS na Isaya Esipisu (baku) Jumamosi, Novemba 16, 2024 Inter Press Service BAKU, Nov 16 (IPS) – Wanahaŕakati wa mazingiŕa wa Afŕika katika mkutano wa kilele wa hali ya hewa (COP29) unaoendelea huko Baku wametoa wito kwa wafadhili wa hali ya hewa kuacha kuzikandamiza…

Read More

Gavana BoT ataja umuhimu wa elimu ya fedha shuleni

Dar es Salaam. Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amesema tayari wameshaandaa miongozo itakayotoa elimu ya fedha kwa Watanzania itakayofundishwa kuanzia shuleni. Amesema hatua hiyo inalenga kumpa Mtanzania elimu ya kumwongoza kwenye matumizi ya fedha ili kuepuka utumiaji usiofaa unaosababisha umasikini. Tutuba ametoa kauli hiyo kwenye hafla ya kuorodheshwa kwa Hisa Stahiki…

Read More

Umeme kilio cha viwanda kwa kamati ya Bunge

Dar es Salaam. Kukosekana umeme wa uhakika na kutokuwapo usawa sokoni kumetajwa kuwa sababu ya viwanda, vikiwamo vya chuma kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa nchini. Kutokana na hilo, imependekezwa kuangaliwa namna kituo cha kupoza umeme Mkuranga kinavyoweza kupewa kipaumbele badala ya kile cha Chalinze ili kuhudumia viwanda, vinavyochangia ukuaji wa uchumi. Wamiliki wa viwanda…

Read More

MATHIAS CANAL ACHANGIA MIL 5 KWA AJILI YA MADAWATI 37 NA KUUNGANISHA UMEME SHULE YA MSINGI TUTU WILAYANI IRAMBA

Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika mkoa wa Singida. Akizungumza wakati wa Mahafali ya 70 ya shule hiyo iliyofanyika tarehe 1 Octoba 2024, Mathias Canal ametaja…

Read More