
Musonda kumpisha Dube Yanga | Mwanaspoti
WAKATI Yanga ikiwa kwenye mchakato wa kusaka mbadala wa Joyce Lomalisa ambaye anatajwa kuachwa mwisho wa msimu huu, imebainika kuwa mshambuliaji Keneddy Musonda pia anampisha mtu. Musonda anamaliza msimu wake wa pili mwishoni mwa msimu huu na hakuna mazungumzo yoyote baina yake na uongozi kwa ajili ya mkataba mpya na inatajwa kuwa atampisha Prince Dube…